Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Smalling kabisa mkuu?Young
De Gea
Matic
Mata
Smalling
Young ndio atavaa.. ila kama David atabaki apewe yeye.
Nafikiri umeona smalling yuko chini kabisa.. ni chaguo la mwisho kabisa.Smalling kabisa mkuu?
Jacob massawe wa stand United ana Quality ya kuchezea man uKufuatia kuondoka kwa nahodha Antonio Valencia klabuni Man Utd, nani anapaswa kuwa nahodha mpya wa klabu hiyo ambayo msimu ujao itashiriki kikamilifu kwenye Ligi ya Europa.
Mwanzoni nilipenda Herrera awe nahodha mpya ila bahati mbaya nae ndio anaondoka hivyo. Je ni nani mpiganaji au mfia timu ambaye anaweza akawa kiongozi mzuri kwa wenzake?