Nani anaruhusu mabango kama haya public facilities?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Songwe Airport

MY TAKE
Hivi bkweli creativity imeshindikana mpaka kwenda kutundika mbango kama huu ukuta wa airport? Kwanini wahusika wasiweke poles barabarani kubandika tangazo lao?
Where r the standards TAA or TCAA? Inakera kwakweli, badala ya kuwa na screen ya kuonyesha departure tunawekewa bango la maziwa ama coca cola! Aisee...!
 
Bora Tangazo la Maziwa (LATO) kuliko wangeweka lile la mipira ya kujikinga na Ngwengwe
 
Walishindwa kutengeneza hilo bango..hivyo lato milk aliwafadhili akaweka na tangazo lake...its all about business.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kumbe na swongwe ni International airport,
Mimi nidhani ni chatletu
 
Back
Top Bottom