Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Wapige marufuku huu mtindo!enhee ni "bkweli"
🤣unataka ubandikiwe kila mahala muda wa kuondoka.....kwenye tiketi hawajaandika
Bora Tangazo la Maziwa (LATO) kuliko wangeweka lile la mipira ya kujikinga na NgwengweSongwe Airport
MY TAKE
Hivi bkweli creativity imeshindikana mpaka kwenda kutundika mbango kama huu ukuta wa airport? Kwanini wahusika wasiweke poles barabarani kubandika tangazo lao?
Where r the standards TAA or TCAA? Inakera kwakweli, badala ya kuwa na screen ya kuonyesha departure tunawekewa bango la maziwa ama coca cola! Aisee...!