Nani anasema hakuna correct score kwenye betting?

Kuna mechi za double chance mkuu,kwa sasa mimi nimeacha kubeti maaana naona kama hakuna mechi,ligi zimefikia ukingoni
 
Kuna mechi za double chance mkuu,kwa sasa mimi nimeacha kubeti maaana naona kama hakuna mechi,ligi zimefikia ukingoni
Mkuu unakata tu tamaa mapema, game bado zipo nyingi. Nafikiri leo bahati haikuwa yangu, ukiangalia game yenyewe ilikuwa ipo wazi kabisa halafu huko ndio nyumbani mkuu, U17, U18, U19, U20 & U21 nacheza sana ni mara chache kama hivi ikitokea nimekula za uso.
 
Kwa ujumla ni kwamba hakuna option rahisi kwenye betting
 
Fixed Correct Score ZIPO.
Mimi nilipewa fixed ya semi final ya Europa 2017, mechi kati ya Man U Vs Celta Vigo na Olympique Lyon Vs Ajax. Hizi mechi zilitoa matokeo yaleyale aliyonipa jamaa. Shida ilikua tu hapo kabla alishanipa kama mara mbili hiv zikawa zimegoma, so hapa sikumuamini nkapuuzia.
 
Sasa hyo sio fixed..nae anabahatisha tu, game kubwa na michuono mikubwa game haziwi fixed acheni kufanywa mazuzu
 
Acha uongo UEFA ,EUROPA HAKUNAGA FIXED MATCH IYO ILIKUWA PREDICTION TU
 
Sasa hyo sio fixed..nae anabahatisha tu, game kubwa na michuono mikubwa game haziwi fixed acheni kufanywa mazuzu
Naungana mkono na ww mkuu sema ukibet sana kuna baadhi ya odds matokeo yanakuwa yanajirudia mfano katika mwa league zote odd ya 1.20 wa nyumbani alikuwa anafungwa alafu 1.75 ugenini ilikuwa inashinda hand cap nilifuatilia nikajua nikampiga muhindi siku hiyo feynoord alipigwa na odd ya 1.20 na Cjul wa Roman alitoa handcap niliweka team tatu nyingne siikumbuki lakn nilikula laki mkuu

Ushahidi.
Odd ya 1.20 home Barca alipigwa 4 Kwa 3 na real bets akiwa home
Odd ya 1.20 man city alipigwa na leicter city
Oddy 1.20 man city alipigwa kwenye group stage uefa na Lyon kama sijakosea
Hizi odds zilikuwa Kwa waliotumia premier betting kwenye makaratasi

Hakuna fixed kiivyo wanavyoamin ila ukicheza na odds muhindi ni mwepesi kama karatasi

Bila kusahau pia odds ya 1.16 mwanzoni mwanzoni mwa msimu ilikuwa inatoa matokeo ya draw handicap wanyumbani.anashinda tofauti ya goal moja nayo hiyo odds nilikuwa nikiikuta nacheka tu nayo imenipa sana pesa

Note:
Ikifika kipindi flan odds ikazoeleka matokeo yake yanachange now odds ya 1.20 inashinda vizuri Sana
Na odds ya 1.16 inatoa handcp vizuru Tu

#TUWEMAKINIHUUMCHEZOUNAHITAJIUMAKINIWAHALIYAJUUSANA
 
Mkuu sijakuelewa uliweka double chance ya ashinde yeyote au
 
Sasa hyo sio fixed..nae anabahatisha tu, game kubwa na michuono mikubwa game haziwi fixed acheni kufanywa mazuzu
Hiyo unasema wewe, think outside the box. Juve ashawahi kushushwa daraja sababu ya kufix matches. Ikiwa wewe huwezi kuzipata sio kigezo kua hazipo.
 
Hiyo unasema wewe, think outside the box. Juve ashawahi kushushwa daraja sababu ya kufix matches. Ikiwa wewe huwezi kuzipata sio kigezo kua hazipo.
Kuna tofauti ya kufux match na kupanga matokeo...kupanga matokeo ndio ilimtokea juve,mfano unakuta washakua mabingwa wanacheza na timu ambayo ipo kweye hatari ya kushuka daraja wanapanga matokeo wapoteze mchezo,

Game fixing inafanyika kwenye ligi ndogo ndogo sana na kwa tahadhari kubwa sana,
 
Dah,
Kupanga Matokeo ndio fixing of Matches ndugu yangu, tofauti ni maneno na lugha tu. Sema aina za fixing ndo ziko nyingi kama vile CS, Ht/FT, Red Cards, Total Goals Exactly, etc.
 
Dah,
Kupanga Matokeo ndio fixing of Matches ndugu yangu, tofauti ni maneno na lugha tu. Sema aina za fixing ndo ziko nyingi kama vile CS, Ht/FT, Red Cards, Total Goals Exactly, etc.
Kumbe unajua betting....

Watu wanajua betting mpaka correct score tuu
Hayo mengine hawajui....
Watu inabidi wabadili akili zao
 
Na akikupa wewe siku2 mfululiz zote zkatoa
 
Hakun siku ya kuliwa na siku ya kula. UMAKINI fanya betting kam kaz nyingne iheshim utaona matunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…