Nani anasema hakuna correct score kwenye betting?

Kwel na me ndio nlichofail
 
Sio
Acha uongo UEFA ,EUROPA HAKUNAGA FIXED MATCH IYO ILIKUWA PREDICTION TU
Sio kwel. Kuna jamaa alinipa fixed match ya arsenal na napoli akanambia baad ya match kam natak kuendelea nae nimtumie dola 500 me nikajarb ikatoa ila dola 500 ckuwaa nazo ivyo akunitumia ten email na me nikimtumia anijib ad leo
 
Dah,
Kupanga Matokeo ndio fixing of Matches ndugu yangu, tofauti ni maneno na lugha tu. Sema aina za fixing ndo ziko nyingi kama vile CS, Ht/FT, Red Cards, Total Goals Exactly, etc.
mkuu kama mtu hajui fixed apa ataendelea kukubishia
 
Watu awachambui team kun team unakut kweny league ya 2 inachez na 14 alaf wa pil kapew point 5 na wa 14 kapew 1.70 wew utamfat mweny 1.70 umpe double chance ije 1.16 kitakacho kukuta utamuadisia kla m2 tafuta league ya bolivia kun uo mchez mchaf san mal wamefungan 9 kwa 3
 
Hahhahahah ulicho kisem unakielew kwel?
 
Jamaa alinambia niwek hela zangu zote kwamb ni 100000000% uwakik sema ujinga wang uwa simuamin mtu kila ili ivy hat me mwenyew sometimes siamin nafs yang nais inanidanganya. Nikastake hela ya mboga ila hapa nlipo najuta sana
 
Semi final ya europe iwe fixed! Bro acha utani ase, unajua timu ikiingia tu final inapata hela kiasi gani. Hata mimi naamini fixed zipo ila ni kwa ligi ndogo ndogo sana na matokeo fulani yanakuwa hayana madhara makubwa kwa timu fulani.
Sio timu inahitaji point 2 isishuke daraja, alafu hiyo timu ifix eti ifungwe na ishuke daraja
 
Kinachofanyika hapo anakuwa na wateja wengi, kila mtu anamtumia tofauti tofauti ie 2-0, 3-2, 1-4 so ikitokea aliyekutumia wewe ndio imetiki utamwamini na utamtumia pesa ili uendelee nae na ataendelea kukutumia na utaona utakavyoanza kula vipigo ukimlalamikia ana kublock
 
Hakun siku ya kuliwa na siku ya kula. UMAKINI fanya betting kam kaz nyingne iheshim utaona matunda
Unataka watu wakucheke mzee, umakini upi unaozungumzia? Unataka kusema mtu anayeweka stake ya 10k, 20k, 30k na kuendelea huyu amekosa umakini?

Mkuu watu tupo makini kuliko vile unavyofikiria, tena wengine tuna mazoea ya kucheza single game tu kuepuka ile presha ya mkeka wenye timu nyingi, lakini bado hiyo single game kuna wakati inakuletea maumivu.

Ukiacha habari za kupanga matokeo, mafanikio ya betting wakati mwingine inategemea upepo umeelekea wapi, ukikufuata kule ulipoelekea wewe utapiga pesa mpaka uzikimbie.
 
Mimi siongei utani, wala nikidanganya hapa haitasaidia pia. Na wala sio biashara yangu niseme nadanganya ili kuvutia wateja. Nilipewa Correct Scores za matches mbili za semi final Europa na zikatoa zote. Kama jamaa alibunia ni shauri zake mwenyewe, ila kwangu zote mbili zilitoa.

Lakini fahamu tu pia kua sio kila Correct Scores ina athari ki hivyo. Kuna timu unajua kabisa fulani humuwezi hata kwa dawa, mnachopanga ni akufunge tu goli ngapi, basi. Sasa ufungwe kawaida usilambe kitu au mkubaliane ufungwe goli kadhaa udake chako hapo akili kumkichwa.
 
Hahhahahah ulicho kisem unakielew kwel?
Huyu jamaa bana tunabet nae kila siku na ana group kabisa anauza odds lakini nashangaa hajui kua kupanga matokeo ndo huleta fixed matches, sijadhania kabisa aisee.

Tena hasa kwa mtu mwenye ID na profile ya mwanasoka kama yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…