Namba 4. Madaraka SeleimanWandugu kuna rekodi mbali mbali za soka la bongo nahitaji kuzifahamu. Nna uhakika pia zitakuwa ni muhimu kwa wale wasiojua kama mimi. Rekodi hizo ni zifuatazo
1. Mfungaji wa muda wote wa timu ya taifa (idadi ya mechi na magoli)
2. Anaeshikilia rekodi ya kucheza mechi nyingi timu ya taifa
3. Mchezaji gani amecheza mechi nyingi za ligi kuu toka kuanzishwa kwa ligi hiyo (mfumo wa zamani na wa sasa hivi)
4. Mchezaji gan amecheza klabu moja kwa muda mrefu?
5. Mchezaji gani aliefunga magoli mengi zaidi ndan ya msimu mmoja? (Kwa Michuano yote aliyoshiriki katika msimu huo)
Mdau mwenye maswali mengine anaweza kuongezea!
Nawasilisha kwenu GTs
Vipi kuhusu George Kavila mkuu!?Tuna tatizo kubwa kwenye kutunza kumbukumbu kwenye michezo yetu,kwa karibuni
John Boko (Azam),Nadir Haroub (Yanga),Shaban Nditi (Mtibwa)ni miongoni mwa wachezaji waliochezea timu moja kwa muda mrefu Madaraka Selemani,Mrisho Ngasa,Juma Kaseja,Kelvin Yondani,Mecky Mexime ni miongoni mwa wachezaji waliocheza mechi nyingi kwenye ligi
Sina takwimu zakeVipi kuhusu George Kavila mkuu!?