Mama Joe hapo kwenye bold inakuja kweli kwa wanaume kuitana "mpenzi"?WoS, Mie naona yanatumika
Kuonyesha upendo kwa yeyote ktk familia yako mume, mtoto lakini pia kwa rafiki wa jinsia moja sawa kabisa.
Ila rafiki wa jinsia nyingine mh labda huyo ndo "Man of Substance" mtarajiwa otherwise utafanya watu washtuke, au yeye mwenyewe au mwenza wake wakuwaze nini?
e wuuuuuuwi umenikumbusha mbali, jamaa alikuwa ana act uzungu kwa kutumia hayo maneno sweety, baby nk,rafiki yake naye alisha wajua hivyo akawa anamtafunia,hivyo huyo rafiki akimkuta mama yupo na jamaa anatumia maneno hayo bila jamaa kujua ila alipogundua mpaka leo hataki hata kusikia kitu kinaitwa sweety,...ughaibuni kuitwa darling, love, sweetheart wala sio big deal achilia mbali kuminyiwa jicho, au kupewa busu!
Kwenye jamii zetu za kibantu, NI MARUFUKU! ...binafsi sithubutu kumwita mw'mke kwa majina hayo mbele ya 'mywife' wangu, na wala yeye hathubutu kutamka hayo kwa mw'ume mwingine nikayasikia, kwani inaleta tafsiri tofauti 🙂