A africanus New Member Joined Feb 8, 2008 Posts 4 Reaction score 0 Feb 8, 2008 #1 Ni kawaida yetu kutabiri nani anashika uongozi pindi mabadiliko yanapotokea, sasa tabirini nani atashika nafasi Waziri Mkuu, toa majina matatu na utaje vigezo/sifa zitakazofanya mtu huyo ashike wadhifa huo. africanus
Ni kawaida yetu kutabiri nani anashika uongozi pindi mabadiliko yanapotokea, sasa tabirini nani atashika nafasi Waziri Mkuu, toa majina matatu na utaje vigezo/sifa zitakazofanya mtu huyo ashike wadhifa huo. africanus