FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Umenikumbusha ka serengeti binamu. lol! Hatujawaacha wake zetu nyumbani, wao ndio wameamua kujiacha nyumbani. Wana miguu, sura nzuri, fedha na kila kitu. Wanabweteka, wanajiachia na kujisahau. Kama huyo anayebembelezwa lakini anagoma, ulitaka achapwe bakora? Acheni hizo bana.

ovyooo kabisa.....unadhani mke/mume ni kama nguo unabadilli utakavyo?
no huyo mwanamke inabidi abadilike kidogo bwana hata kama atashindwa kujiweka update angalau 50/50
kama ulivyosema kipindi kile kiasi mambo hayakuwa fresh na sasa yako Fresh
Na kizuri zaidi unampenda mkeo ..hebu mwambie huyo mkeo aje kwangu nimfundishe kwanza nikianza mavazi nimeshawaambia i love fashion na kwa umri wake kuna fashion zitakazomfanya awe classic
second ..mtizamo na maongezi nitamshauri aachane na magruop ya umbea na abadilishe mtizamo wake
mbona hiyo imetulia sana asijiwekeweke nyuma mwisho ujiopolee kipima joto kingine 😉
Mmhh do you think this is the right way to solve the problems? alternative zako kwa kweli huwa sizikubali kabisa,hivi ukienda kwenye hiyo alternative ukaikuta nayo ni yale yale kama uliyoyaacha nyumbani utakua umesolve tatizo au umeanzisha tatizo lingine? You have to sit with ur partner and discuss,kama unaona haelekei unamwelimisha taratibu iko siku somo litaingia kichwani.
Mbona katika thread sijaona jamaa akisema mke wake anajihusisha na magroup ya umbea? au hizi pre judgement zako unaziweka vp? Mbona nyie mnao jiita classic ndo mnaongea sana umbea huko kwenye masalooni yenu ya classic? au umbea wenu tofauti?no huyo mwanamke inabidi abadilike kidogo bwana hata kama atashindwa kujiweka update angalau 50/50
kama ulivyosema kipindi kile kiasi mambo hayakuwa fresh na sasa yako Fresh
Na kizuri zaidi unampenda mkeo ..hebu mwambie huyo mkeo aje kwangu nimfundishe kwanza nikianza mavazi nimeshawaambia i love fashion na kwa umri wake kuna fashion zitakazomfanya awe classic
second ..mtizamo na maongezi nitamshauri aachane na magruop ya umbea na abadilishe mtizamo wake
mbona hiyo imetulia sana asijiwekeweke nyuma mwisho ujiopolee kipima joto kingine 😉
huko wana solve nini zaidi ya kuweka wallet mezani.....nikifikiriaga hapo ndio mana pesa yangu ni yangu,yake ni yetu haina mjadala........
Hebu waambie kina nyamayao mamii. Maana na wao bado wako enzi za mwaaalim.
Hebu waambie kina nyamayao mamii. Maana na wao bado wako enzi za mwaaalim.
Mbona katika thread sijaona jamaa akisema mke wake anajihusisha na magroup ya umbea? au hizi pre judgement zako unaziweka vp? Mbona nyie mnao jiita classic ndo mnaongea sana umbea huko kwenye masalooni yenu ya classic? au umbea wenu tofauti?
Badilikeni Wote! Shuka Kidogo na Yeye Apande Kidogo Kisha Mkutane katikati!
Hahahaha! Mdada hujampata wa size yako, Ukakolea inavyotakiwa. Zako zitakuwa zenu na zake zitakuwa zake.
mie sijasema kama ni classic lakini mwanamme kamuomba mkewe kwa uzuri tu ajaribu kuchange ..walikuwa juani sasa wanalia kivulini
Mimi kama mwanamke kwa nini nisijaribu kuchange jamani ?? kuna tatizo nilikuwa navaa CHIRIMENI mme wangu akanipa pesa ya kitenge ?
yaa chrispin dunia hii kama hutaki kubadilika utashushwa kwenye tren kabla hujafika mwisho wa safari
Umeona sasa hapo it shows that tatizo nalo ni mume anataka mkewe awe vile mume anapenda na sio vile mke anapenda! wewe utamlazimishaje mkeo avae suruali? mbona kuna magauni tu mazuri na mtu anapendeza? huyo mume naye anamatatizo?mie sijasema kama ni classic lakini mwanamme kamuomba mkewe kwa uzuri tu ajaribu kuchange ..walikuwa juani sasa wanalia kivulini
Mimi kama mwanamke kwa nini nisijaribu kuchange jamani ?? kuna tatizo nilikuwa navaa CHIRIMENI mme wangu akanipa pesa ya kitenge ?
Kaka naona ushajisahau huko kwenye thread nyingine umetangazwa mshindi kwa FL huku naona Unamkana tena!!Hii nimeipenda zaidi, ntaitransleti kwa kimombo nimtumie my wife wangu ili iwe na msisitizo zaidi.
Kaka naona ushajisahau huko kwenye thread nyingine umetangazwa mshindi kwa FL huku naona Unamkana tena!!
Umeona sasa hapo it shows that tatizo nalo ni mume anataka mkewe awe vile mume anapenda na sio vile mke anapenda! wewe utamlazimishaje mkeo avae suruali? mbona kuna magauni tu mazuri na mtu anapendeza? huyo mume naye anamatatizo?