Nani anatoka Marekani kuja kutibiwa Tanzania?



Mkuu angalia huyu mmarekani amepata tiba Tanzania na hapa anatoa ushuhuda wake jinsi huduma zilivyokua bora,na nenda youtube uone wamarekani wenzie wanavyoongelea
 
Sasa si mngemnusisha mtoto ugoro mapema apige chafya muachane na ujinga wa hospitali?
Mm sikuwepo hata huo ugoro siujui, mbegu yenyewe wanasena ilikuwa haionekani kila mtu anaogopa kumgusa alivyovimba.
 
Mm sikuwepo hata huo ugoro siujui, mbegu yenyewe wanasena ilikuwa haionekani kila mtu anaogopa kumgusa alivyovimba.
Inawezekana hao manesi nao waliogopa. Nao ni binadamu pia...

Siku nyingine ukiona mtu kakwamwa mtandike kibao miongoni, mwenyewe ataachia. Atake asitake
 
Wapo wagonjwa wanaotoka Marekani kuja kutibiwa Tanzania, ila haimaanishi magonjwa yao yalishindikana kwenye Hospital za Marekani na tena sio magonjwa ya moyo na kama ni ya moyo, wanakuja tz kujitibu kwa kutumia tiba mbadala ya mitishamba, sio kwenda kwenye taasisi ya moyo kakata kikwete
 
Siasa hiyo ndugu, wana siasa wetu wana akili za kuku, kudanganya wananchi. Hayo magonjwa ni lifestyle ya mtu, yanazuilika kwa percentage kubwa. Hayo mamashine wanajiletea wao maana wanaogopa kufa wamenepa kwa kula nchi. Mioyo imejaa mafuta.
 
Tunaposema kuwa CCM wamechoka,wamekata tamaa na wamechanganyikiwa huwa hatutanii hata kidogo!Imagine Rais wa nchi anaongea pumba kama hiyo.
 
Inawezekana kweli, make nakumbuka utawala wa mwendakuzimu tz ilikuwa ina-export mitumba ya nguo marekani na ulaya.
 
Taasisi ya Kikwete, why him? The most corrupt leader of all times, badilisheni jina jamani. Tuwaenzi madakitari wa zamani, siyo Kikwete please!
 
Soma tena alichopost, ndio maana mnafeli mitihani
 
Tujikite kwenye mada,Swali:Je kuna wamarekani yaani raia wa marekani waliwahi kutibiwa hapo au hawajawahi?
 
Kuna tofauti kati ya mmarekani kutibiwa pale na mtu kusafiri kutoka marekani kuja kutibiwa kama tunavoenda India.
 
Kwani Wamarekani wanaishi ktk dunia ipi hadi wasiweze kutibiwa JKCI? Ni muhimu kufikirisha akili kabla ya kuweka mada za ovyo tena za kutaka kudhalilisha mamlaka.

Kwa mfano, tuna Wamarekani wako ubalozini kwao hapa unadhani ni wasambaa kisa wako Tanzania? Watalii na wasafiri wengine raia wa Marekani. Kama kapata matibabu JKCI badala ya kwenda kwao hiyo si sifa kwa nchi yetu. Tuache ujima kuidharau nchi yetu.
 
Nilidhani atutapata raisi muongo kama Magufuli atleast he was generic on matters he couldn’t explain scientific to boost his success.

But jeez 😫 hearing this woman trying to explain causes of non communicable diseases in relation with cardiovascular diseases was too much; add that to her prevention strategy geez.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…