Nani anatoka Marekani kuja kutibiwa Tanzania?

Hayo matunda ni mpiniges ngoja nakuletea picha
 
ilikuwa chai ya rangi ...majani kwa mbali saaaana...hata mbuzi hawezi kuthubutu kuja kutibiwa huku
 
Mleta thread na wanaojadili wote hawajui hata nini kilizungumzwa. Mada yote inepoteza mwelekeo, watu wanajadili kitu ambacho hata hakipo.

Jamanieee, kilichozungumzwa ni kwamba kulikuwa na watu wakiwemo wamarekani hapa hapa nchini ila kutokana na COVID-19 kuwa kwenye peak kubwa na mipaka mingi kufungwa kulikuwa hakuna jinsi iliwabidi hao wamarekani waliopata matatizo kupata tiba hapo JKCI kwasababu hawakuwa na altenative, na huduma zao wao wenyewe waliona ni nzuri tu.

Sidhani kama kuna sehemu wanesema mmarekani katoka huko kaja bongo kutibiwa.
 
Umeiangalia video?
 
Huyu mama anadanganywa sn sijui kwanini? hapo umesema kweli
 
Duh!

Kwa hiyo chochote watakachokiweka kwenye hotuba yeye atakisoma tu?

Aisee!
Ndiyo, si inakuwa ishapitiwa na wasaidizi wake watatu?
Watu wa hotuba, itifaki na siasa.

ila kuna watu inabidi awaondoe, wale wa awamu ile.
 
Kwamba kwenye video wamesema kuna wagonjwa wametoka marekani wakiwa mahututi wakaletwa JKCI kwaajili ya matibabu ?
Umeiangalia video? Hususan sehemu ambayo nimeiwekea time stamp?
 
Watanzania tuwe waelewa,hakuna mahali walisema kwamba mgonjwa alitoka marekani kuja kutibiwa! ila uraia wa mgonjwa alikuwa mmarekani nini cha kushangaza hapo ndugu zangu? kitu cha kawaida sana yani. Lipo tukio la waziri mmoja wa Afrika kusini alipatwa na tatizo la moyo akiwa hapa nchini kama sikosei ilikuwa wakati wa mkutano wa SADEC kwa hali ilyokuwepo alikuwa anahitaji upasuaji wa dharula na ikabidi ufanyike hapa JK kwa mafanikio mazuri kabisa,kwenye list ya wagonjwa waliowahi kufanyiwa upasuaji pale wataandikaje? Lazima kumbukumbu zisome uraia wake sahihi,kafikaje hilo ni suala jingine. Tukazeni buti tu wapendwa yapo maendeleo makubwa kwenye hiyo sekta tujikubari hakuna tatizo,
 
Umesikiliza alichosema? Umeangalia video?
 
Wanakuja wengi sana kwa tiba hasa zile za kupikwa kwenye yale mavyungu makubwaaaaaa unapikwa maji yanachemka lakini huungui, yani wapo wengi sana , bila kusahau kuchanjwa chale za sehemu nyeti kama zoteee mijitu mishirikina bwana.
 
Namfahamu colleague mmoja Mtanzania ni diabetic ana Green Card ya USA. Japo hakuja MNH lakini kafanya comparisons kati Bei ya USA, India akaona bora kuja Tz.
Alifanyiwa amputation ya mguu wa kushoto AgaKhan Hospital mwezi Januari mwaka huu
 
Wanakuja wengi sana kwa tiba hasa zile za kupikwa kwenye yale mavyungu makubwaaaaaa unapikwa maji yanachemka lakini huungui, yani wapo wengi sana , bila kusahau kuchanjwa chale za sehemu nyeti kama zoteee mijitu mishirikina bwana.
Wanafanya wapi hiyo? Sehemu nyeti zinachanjwa? Woooik, utalii wa Afya huo. Kweli tanzania tuna akili ya nzi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…