Nani anatoka Marekani kuja kutibiwa Tanzania?

Ngoja tuwasubiri nyie diaspora labda mtakua wa kwanza
 
Yaani wewe na wifi yako muache.kuwa busy na simu muwe mnaangalia watoto.
 
Taasisi ya Kikwete, why him? The most corrupt leader of all times, badilisheni jina jamani. Tuwaenzi madakitari wa zamani, siyo Kikwete please!
Hapo umekwama, jina litabaki hivyo hivyo.
 
Mkuu wewe ni CCM Baby,tena Team Magufuli Baby,na slogan yenu ni Tanzania kuwa Dana kantre,si ajabu Tanzania imetajirika kushinda US

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ni Tajiri kuliko US, "in Mataga's voice"......

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Tunaweza kushangaa lakini pengine wapo.... Mkuu wa hii taasisi amehudumu miaka mingi US na mpaka sasa ni visiting lecturer vyuo kadhaa huko US. Inawezekana mtu aliyeshindwa gharama akaona kuliko kufia USA acha nikajaribu bahati huko Africa. Na kama alipata msaada, anakuwa balozi. Anyways, Rais anajua mengi kuliko wengine hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…