mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Kwa anaetumia clubhouse tupe mrejesho.
Je ni nzuri? User friendly?
Je ni nzuri? User friendly?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani! sema 50/50 huanzia Android/iOS. Binafsi situmii Android sababu ya "iOS wanakosa apps" bali sioni jipya au la zaidi iOS.App zote kubwa kubwa na maarufu uanzia iOS ndo maana uwa nashangaa mashabiki wa kufa wa android ambao wanadai Kuna apps eti watu wa iPhone wanakosa 😂😂😂😂 hata WhatsApp ilianzia iOS.
Sijavitumia lakini nilichek YouTube inaelekea inatake over kwa kimbunga
Mkuu apps nyingi mashuhuri zimeanzia iOS kuanzia WhatsApp, Instagram, Snapchat na nyingine zimeanzia iOS ndipo zikaja android.Sidhani! sema 50/50 huanzia Android/iOS. Binafsi situmii Android sababu ya "iOS wanakosa apps" bali sioni jipya au la zaidi iOS.
Nadhani wengi walio katika battle hiyo ni uwezo wa kumiliki au uelewa wa matumizi.
Sababu kubwa inachagizwa na sehemu anzilishi, aplikesheni nyingi maarufu ni zao la Marekani, EU na Canada sehemu ambazo iOS ni mwanzo au traditional kwao. | WhatsApp, Instagram, Snapchat na Clubhouse.Mkuu apps nyingi mashuhuri zimeanzia iOS kuanzia WhatsApp, Instagram, Snapchat na nyingine zimeanzia iOS ndipo zikaja android.
Mimi kwasasa natumia android ila ni fan wa iOS na MacOs
Napenda ecosystem yao, smooth, iOS kuformat sim sjui Ina run slow ni nadra Sana same to MacOs na kufanya clean installation ya OS.Sababu kubwa inachagizwa na sehemu anzilishi, aplikesheni nyingi maarufu ni zao la Marekani, EU na Canada sehemu ambazo iOS ni mwanzo au traditional kwao. | WhatsApp, Instagram, Snapchat na Clubhouse.
Ni sawa na Afrika (Tanzania, Afrika Kusini, Nigeria, Masr, Ghana, Morocco, Pwani Ndovu, Cameroon na Angola) aplikesheni nyingi zinaanza Android sababu ndio mwanzo/traditional. | Nala Money, M-Pesa, Boomplay Music, ShowMax.
Sababu zipi zinakufanya fan wa iOS na MacOs?
Safi!, binafsi ni mtumiaji wa Android na Windows. Kwangu heshima ni UI, module ya processing na stability. Windows 10 it's definitely the best innovation. Let's see Windows X itakuwaje!Napenda ecosystem yao, smooth, iOS kuformat sim sjui Ina run slow ni nadra Sana same to MacOs na kufanya clean installation ya OS.
Ila naona windows 10 ni stable Sana pia nna PC mwaka 2 haijasumbua
Inakuja windows x so tunafanya updating tu hakun clean installation? How is Microsoft making money maana nadhan kwasasa Kama una genuine window ni kuupdate tu bure Kama os za simu vileSafi!, binafsi ni mtumiaji wa Android na Windows. Kwangu heshima ni UI, module ya processing na stability. Windows 10 it's definitely the best innovation. Let's see Windows X itakuwaje!
Sijafahamu vizuri tutafanya updation au clean installation! Lakini Windows X ipo inasukwa na muda wowote itakuwa hewani. Inatazamiwa itakuwa na maboresho zaidi, mifumo na features mbalimbali.Inakuja windows x so tunafanya updating tu hakun clean installation? How is Microsoft making money maana nadhan kwasasa Kama una genuine window ni kuupdate tu bure Kama os za simu vile
Ahadi baada ya windows 10 ilikuwa tutakuwa tuna update tu hakuna Tena mambo ya kutoa windows ya zaman kuweka mpya hiyo ndiyo ilikuwa ahadiSijafahamu vizuri tutafanya updation au clean installation! Lakini Windows X ipo inasukwa na muda wowote itakuwa hewani. Inatazamiwa itakuwa na maboresho zaidi, mifumo na features mbalimbali.
Hapa ni moja kwa moja tutafanya update kutoka Win10 to WinX.Ahadi baada ya windows 10 ilikuwa tutakuwa tuna update tu hakuna Tena mambo ya kutoa windows ya zaman kuweka mpya hiyo ndiyo ilikuwa ahadi
Nahs hvyo huenda Microsoft wangekomaa na windows phone huenda Sasa hv wangeshaanza kunasa sokoHapa ni moja kwa moja tutafanya update kutoka Win10 to WinX.
Hakika! Naamini bado wanayo nafasi hata kwa Windows Phone, wakijipatia soko la watu million 300 inatosha, litazidi kujitanua.Nahs hvyo huenda Microsoft wangekomaa na windows phone huenda Sasa hv wangeshaanza kunasa soko
Hata hivyo zinarahisisha matumizi na utendaji wa kila siku.Mabeberu Wanazidi kutuongezea matumizi ya bando