Clubhouse ni nzuri na kipengele kinachoipa ushindi ni uwezo wa kuchati kwa sauti, bei yake huanzia $8.50 kwa mwezi, kwa kila mtumiaji. Kuna toleo la bure pia. Kwa sasa Clubhouse inapatikana kwa watumiaji wa iOS.
View attachment 1701914
Kwa watumiaji wa Android kuna majaribio machache yanaendelea, tukitazamia kufikia matumizi.
Tazama maelezo ya huduma na mambo yanayohusu Clubhouse hapa👇
https://www.getapp.com/project-management-planning-software/a/clubhouse/features/
Clubhouse Alternative unazoweza kutumia ni Discord
Na hivi sasa kuna majaribio makubwa yanaendelea ya Twitter Spaces hii Twitter Spaces itakuwa na functionality nzuri na nyingi zaidi.