Kama mnavyojua mkutano wa mataifa tajiri duniani (G7) umeanza huko Italy. Mataifa hayo ni Italy (Mwenyeji) Germany, France, USA, UK, Japan na Canada wanakutana kujadili mustakabali wa dunia. Je, nasi tunawakilishwa na nani huko? Ilikuwa fursa muhimu kupeleka agenda/ombi maalum huko, tupate mikopo.
NB: marafiki zetu wa-China na Korea wao tunawamudu
TZ iende ikafsnye nini?labda iende ikawe kama house girl, au, waiter wa, kuwapa wakubwa chai!
Jana Umoja wa ulaya, umeipa, ukraine mkopo wa, tilioni 135Tsh! Hizo, zinatosha kulipa Deni letu tunalodaiwa kwa, miaka 60! Tilioni 65! Na pesa, inabaki ya kula kwa, miaka miwili, bila kenge wa, ccm kututoza Kodi!
Samia, na, ccm take, wao, level yao waende EFM wakacheke na mwijaku na machawa wengine, Mambo ya G7, BRIC, tuwaachie wakubwa, Kenya, Nigeria, South Africa, na, Egypt, sie hata SADC inaanza kutuchoka, walikuwa, wanatuona kama big brother, wa kukimbilia wakati wa, shida, za, usalama, uchumi, nk,lakini sasa hv, hata jwatz inaogopa magaidi waliovaa kandambili kule msumbiji, what a shame! Ukiwaona hapa, mjini na combat zao, wanaona wameyapatia maisha, kumbe, hata panyarods tu wanawatoa jasho, rejea yule captain aliyeuliwa na bodaboda kwa kudumgwa kisu!