Ruto yupo anawakilisha Africa masharikiπKama mnavyojua mkutano wa mataifa tajiri duniani (G7) Italy, Germany, France, USA, UK, Japan na Canada wanakutana huko Italy. Je nasi tunawakilishwa na Nani huko? Ilikua fursa muhimu kupeleka agenda/ombi maalum huko, tupate mikopo.
AiseeKama mnavyojua mkutano wa mataifa tajiri duniani (G7) umeanza huko Italy. Mataifa hayo ni Italy (Mwenyeji) Germany, France, USA, UK, Japan na Canada wanakutana kujadili mustakabali wa dunia. Je, nasi tunawakilishwa na nani huko? Ilikuwa fursa muhimu kupeleka agenda/ombi maalum huko, tupate mikopo.
NB: marafiki zetu wa-China na Korea wao tunawamudu
Unajua maana ya G 7?Kama mnavyojua mkutano wa mataifa tajiri duniani (G7) umeanza huko Italy. Mataifa hayo ni Italy (Mwenyeji) Germany, France, USA, UK, Japan na Canada wanakutana kujadili mustakabali wa dunia. Je, nasi tunawakilishwa na nani huko? Ilikuwa fursa muhimu kupeleka agenda/ombi maalum huko, tupate mikopo.
NB: marafiki zetu wa-China na Korea wao tunawamudu
Kama mnavyojua mkutano wa mataifa tajiri duniani (G7) umeanza huko Italy. Mataifa hayo ni Italy (Mwenyeji) Germany, France, USA, UK, Japan na Canada wanakutana kujadili mustakabali wa dunia. Je, nasi tunawakilishwa na nani huko? Ilikuwa fursa muhimu kupeleka agenda/ombi maalum huko, tupate mikopo.
NB: marafiki zetu wa-China na Korea wao tunawamudu
Kwani BRICS ni mbadala wa G7? Nielimishe tafadhali.Nenda wewe Rais akienda mtamtukana
By the way sisi tuko BRICS kama observer
Bila shakaKwani BRICS ni mbadala wa G7? Nielimishe tafadhali.
Lakini lengo kubwa la BRICS ni De-dollarization of global economy tofauti na G7.Bila shaka
G7 lengo lao ni nini?Lakini lengo kubwa la BRICS ni De-dollarization of global economy tofauti na G7.
IndustrializationG7 lengo lao ni nini?
Kwa hiyo BRICS hawana lengo la industrialization ila ni dolarisation tuu si ndio? ππIndustrialization
Malengo mengine yapo lakini what dominates the scene currently ni de-dollarization. Kumbe nimechekesha kuliko wewe!Kwa hiyo BRICS hawana lengo la industrialization ila ni dolarisation tuu si ndio? ππ
Acha vichekesho,ndio maana unaona wameunda Mabenki ya kuwa Mbadala ya mabenki ya kimagharibi
Ambebe na Lukas.Mwijaku
TZ iende ikafsnye nini?labda iende ikawe kama house girl, au, waiter wa, kuwapa wakubwa chai!Kama mnavyojua mkutano wa mataifa tajiri duniani (G7) umeanza huko Italy. Mataifa hayo ni Italy (Mwenyeji) Germany, France, USA, UK, Japan na Canada wanakutana kujadili mustakabali wa dunia. Je, nasi tunawakilishwa na nani huko? Ilikuwa fursa muhimu kupeleka agenda/ombi maalum huko, tupate mikopo.
NB: marafiki zetu wa-China na Korea wao tunawamudu