Nataman sana nipate mawili matatu juu ya hizi massage centers nan wa kutoa msaada
Ushawahi kwenda !?Mambo ya wazungu hayo NYINGI za huku waafrica tunauziana nyapu tuu mule.
Humu jf kuna uzi hili limejadiliwa kinaga ubaga na shuhuda nyingi sana. Nikiupata nitaleta link