Nani anavuta hela ndefu kati ya hawa Talk Show Hosts

Nani anavuta hela ndefu kati ya hawa Talk Show Hosts

babampigi

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
364
Reaction score
312
Katika talk show host ni nani anavuta hela ndefu kupita wote au wanalipwa vipi kwa mwezi?
1: Salama Jabir
2:Sporah
3:Mboni Masimba
Hao ndio naowajua mimi, ukiangalia wenzetu huku Marekani Kina Oprah, Ellen, David Letterman, Steve Harvey wanalipwa mamilion kwa mwezi, najua wenzetu bado hawajagikia huko, lakini najua watafika tu.. Je ni kiasi gani wanaliowa kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom