Wako on transit,unawashika wa Nini!?Naangalia taarifa ya habari
Waethiopia 30 wamekamatwa Mabogini Kilimanjaro wakitokea Kenya
Walipoulizwa walisema wanaelekea South Africa
Swali langu ni Moja
Hivi nani anawafadhili Hawa watu?
2. Je, idadi wanayotaja ni hao tu ama kuna wengine wamekimbia maana wanawaonesha walikuwa wakilala kwenye migomba
3. Hawana passport swali south Afrika wanaendaje?
4. Uhamiaji hawa watu wamepitaje? Binafsi kamishna mkuu nilitamani awatie wote walikuwa zamu wakati jamaa wanapita hawa weka ndani
5. Kama kuna njia za panya wamepita nani anawapitisha
Je, usalama wa mipaka yetu ukoje kama kuna wahamiaji haramu wa Ethiopia zaidi ya 30 Wana uwezo wa kupitia njia za panya kama wanavyodai
Embu Uhamiaji fuatilieni sana haya mambo, kuna siku tutapitisha magaidi humu ndani tupinge na kukeneea na ikiwezekana wanaohusika pigieni msumari 20- 30 miaka.
Inatisha sana.
Kwani yale magari yanayo wabebaga huwa yana peperusha bendela za chama gani vile?Naangalia taarifa ya habari
Waethiopia 30 wamekamatwa Mabogini Kilimanjaro wakitokea Kenya
Walipoulizwa walisema wanaelekea South Africa
Swali langu ni Moja
Hivi nani anawafadhili Hawa watu?
2. Je, idadi wanayotaja ni hao tu ama kuna wengine wamekimbia maana wanawaonesha walikuwa wakilala kwenye migomba
3. Hawana passport swali south Afrika wanaendaje?
4. Uhamiaji hawa watu wamepitaje? Binafsi kamishna mkuu nilitamani awatie wote walikuwa zamu wakati jamaa wanapita hawa weka ndani
5. Kama kuna njia za panya wamepita nani anawapitisha
Je, usalama wa mipaka yetu ukoje kama kuna wahamiaji haramu wa Ethiopia zaidi ya 30 Wana uwezo wa kupitia njia za panya kama wanavyodai
Embu Uhamiaji fuatilieni sana haya mambo, kuna siku tutapitisha magaidi humu ndani tupinge na kukeneea na ikiwezekana wanaohusika pigieni msumari 20- 30 miaka.
Inatisha sana.
uliona mbali sanaNaangalia taarifa ya habari

CCMNaangalia taarifa ya habari