M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 May 14, 2019 #1 Kuna online shoping website nimeiona inaitwa BEROGENGE! Wamejitambulisha kuwa wana Ofisi pia DSM1 Naomba kufahamu kama kuna mtu anawajua na huduma zao!
Kuna online shoping website nimeiona inaitwa BEROGENGE! Wamejitambulisha kuwa wana Ofisi pia DSM1 Naomba kufahamu kama kuna mtu anawajua na huduma zao!
alsam JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 221 Reaction score 308 May 14, 2019 #2 Kwa hili jina Kuwa makini BEROGENGE halafu iwe online shopping haya ukijua nasi tuambie