wakuu heshima kwenu,kuna hii NGO inaitwa HIGHER LEARNING STUDENT SUPPORTING FUND wanajitangaza kuwa wanatoa mikopo kwa elimu ya juu,kuna mtu ambae amekwisha nufaika na mikopo yao?au ni wajanja flani.natangulza shukrani.
fungua website yao..........wameandika majina kadha wa kadha ya watu waliopata mikopo kwa mwaka huu japo ninashaka kidogo kama majina walioyatoa sio ya kubuni