Nani anaweza kula mfupa uliomshinda fisi,,,,

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Sugar mamy kanogewa kwa serengeti boy anagawa kila kitu, hili kumridhisha serengeti boy wake, mpaka mumewe machale yameanza kumcheza, na wapambe nao awapitwi na kitu, washamshika masikio baba wa watu, mashati na suruali za mumewe kampa serengeti boy, mumewe anamuuliza, anadai nguo zimeibiwa kwenye kamba, hii noma sana!!!
 
Vyuja mifupa wakati bado meno yapo. Alafu hao wazee wenyewe wanatukuchukulia mademu zetu. Yaan hapo ni 50/50 pasu kwa pasu
 
Baadhi ya jamaa zake walimwambia, aachane nae serengeti boy, hakutaka kusikia.
 
Sugar mamy kakolea, mpaka anasema nguo zimeibiwa kwenye kamba ya kuanikia nguo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ina maana hako kaserengeti kanaumbile sawa la kuvaliana nguo na baba mwenye mke au kanakwenda kupunguza au kuongeza!!!!
hahahahahahaah
 
Ina maana hako kaserengeti kanaumbile sawa la kuvaliana nguo na baba mwenye mke au kanakwenda kupunguza au kuongeza!!!!
hahahahahahaah
Maumbile yao yako sawa NAHUJA: [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…