Palestina hana jeshi ana mgambo ambao wanalisumbua taifa kubwa. Nawaza kwa sauti hao mgambo wangekuwa na ndege na helcopter kama za taifa kubwa sijui ingekuwaje.Ukraine na Palestina wote wako katika vita vya muda mrefu dhidi ya mataifa makubwa yenye nguvu na yanayopigana vita kwa ukatili mkubwa sana.
Kati ya hawa wawili nani angalau ana ishara ya kumshinda adui yake na kupata haki yake anayoidai au angalau kupata hata makubaliano ya amani yenye uhafadhali(better peace deal)?