Nani anaweza nisaidia no. Za simu za waziri wa utumishi au katibu wake....

Nani anaweza nisaidia no. Za simu za waziri wa utumishi au katibu wake....

The hammer

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,397
Reaction score
1,786
Naomba msaada wa no. Za simu za waziri au naibu wake/katibu mkuu wizara ya utumishi wa umma niwasiliane nae/nao.anaezifaham ani-pm please....
 
Naomba msaada wa no. Za simu za waziri au naibu wake/katibu mkuu wizara ya utumishi wa umma niwasiliane nae/nao.anaezifaham ani-pm please....

Kaangalie kwenye Web ya bunge!
 
Naomba msaada wa no. Za
simu za waziri au naibu wake/katibu mkuu wizara ya utumishi wa umma
niwasiliane nae/nao.anaezifaham ani-pm please....

Nenda ktk ofic zao kama upo mbal angalia kweny internet waweza pata
 
mkuu cjaiona ile list naendelea kuichek km nikiiona ntakujulisha
 
wewe sema shida yako bila woga.wote wamo jamvini watajibu
 
wewe sema shida yako bila woga.wote wamo jamvini watajibu

We m2 wang nadhan hazijatimia vizur, sasa tatizo lake ndo hilo anahitaji namba ya cm halafu mengine yatafuata.
 
Back
Top Bottom