Nani anayefaa kuwa mwenyekiti mpya yanga fc??

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
Baada ya mwenyekiti wa sasa wa club ya Yanga Imani Madega kusema hatogembea tena uongozi katika club hiyo je kati ya watu hawa nani anayefaa kuwa mwenyekiti mpya wa YANGA?
1-Tarimba Abbas
2-Ally Hassan Mwanakatwe
3-Muhidini Rashid Ndolanga
4-Abdul Sauko
5-Ridhwani Jakaya Kikwete
 
Hao uliowataja hapo wamechukua form za kugombea?au wamekwambia wanataka kugombea?
 
Pamoja na kwamba si mshabiki wa yanga,kwa kuwa napenda kandanda HAPO HAKUNA KITU NDUGU YANGU.
 
Hao uliowaweka ulitumia vigezo gani?Je wameshachukua form au kutangazwa kihalali na kamati ya uchaguzi kama wagombea? Acha zengwe wewe!
Ni Muhidini Ahmad Ndolanga badala ya Rashidi.
Wote hawafai isipokuwa mimi ambaye nitajitokeza rasmi kugombea na kutoa sera zangu kwani simba hatuwawezi siku hizi.Nitakachofanya nikiingia Yanga ni kuhakikisha tunaanza kuwafunga simba ambao wanatufunga sana siku hizi.
 
Sidhani kama kuna mtu hapo anafikiria kugombea uongozi Yanga ,wote wanawazia Ubunge
 
Kifukwe au Tarimba wengine wote njaa tu
 
Sera zako zimepitwa na wakati wewe badala ya kusema utasaidia nini YANGA kuwa timu yenye kujitegemea na kuwa timu tishio katika AFRICA unawaza kuifunga SIMBA!!!
 


Mchagueni Manji
 

Lipumba
 
Bora Ridhiwani kitaeleweka heshima itakuwepo.
 
Huyo Lipumba anapenda volleyball
 
Yusuf Mzimba........! ooops sorry thought nipo Msimbazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…