Nani anayefaa kuwa mwenyekiti mpya yanga fc??

Safari hii muwe makini msichague mwanachama wa Simba kuongoza Yanga.
 
Mchagueni Mpondela...castro labda mambo yateleweka wana-kandambili...hehheheheh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…