emmanuel1976
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 301
- 80
hajamsaliti mwenyewe mengi hatak wa2 wasomi anaogopa malipo yao.jamaa alipoomba kwenda kusoma mengi akamkatalia jamaa akaenda bila ya ruksa ya mwajili wake. Mengi akamtangaza kwenye vyombo vyake vya habari kuwa anatafutwa na mwajili wake. Jamaa kidizain ndo akawa amejifukuzisha kaziAlimsaliti mengi,akaamua kukimbilia kwa magamba! But still na mkumbuka mwandishi wa habari mahili but Graduate wa BA.PA...!
subiri kesi iishe ndo ujudgetatizo anawaandika mafisadi kumbe na yeye ni fisadi namba moja
Alijisaliti kwa kutanguliza pesa mbeleJF, tangu jana nimeanza kutafakari upya juu ya report za Jerry Muro na kukumbuka umahiri wake katika kutoa habari bila woga, huyu jamaa ni shujaa kama kina Ndimara Tigambwage and Said Kubenea na wengine wachache. Kuna haja ya JF tena kujadili juu ya nani anataka kuizima taa hii na kwa nini? Afunguliwe Mandela....afunguliwe Jerry Moro!
Tz ukiwa mkweli ndiyo unachukiwa, namshauri afanye kazi nyingine aachane na hiyo kazi mbona ata-win tuuuu maana wamesham-demorolize hata akirudi na kuendelea itamshushia comfo
Unataka nani afanye kazi hii mkuu. Wewe ni miongoni mwa wa TZ wengi waliofugwa na kutengenezwa misukule ya uoga. Hivi fikiria kama wasingekuwepo kina Dr. Slaa, Mtukufu Kubenea, hasa hao, tungekuwa wapi sasa!!!! Hoja yako ilitakiwa kumtia moyo na kumlinda Jerry dhidi ya Mbwamwitu wanaotaka kututengeneza Mazuzu ili aongeze changamoto.....