Nani anayekuvutia kwa post zake katika jukwaa hili?

Mi navutiwa na Invisible
 
kuna mijitu haina akili, mtu ameandika jukwaa hili, halafu pumbavu jingine linakuja kusema eti jukwaa lipi.aaaghrrrr.

mimi nyandaigobeko ndio navutiwa na post zake

mhhhhhhhhhhh sijui!!! ila taratibu tutafika
 
Kwa hiyo hawa mademu wapya akina afr.. labda ndio akina xspin

We tangu uhamishe makao pale MK umekuja kwa staili ya kutisha. Unanywea wapi na nguli siku hizi?
 
Mamushka una boifrendi?

Ha ha ha ha ha ha hii ni comment yako ya 2 sitohisahau hata kama ni kiipa JF kisogo ya kwanza ni ile uliyomwambiaga jamaa akupe avatar ya mzazi wake uweke kama ile ilikuwa inamkera.....

Du FMES wale wazee wa umeme? du hivi siku hizi xspin, fiede80 na nguli wamehamia wapi, maana ulikuwa ukitaka project unawauliza wapwa halafu wanakuambia kama dume jike

Mzazi nipo sema siku hizi siko active kivile kwa vile JF imeingiliwa kiasi flani kuna vijamaa vya uswazi vina ID kama 10 kati ya hizo 7 ni za kike wanakejeli na kutukana hovyo hovyo

Wamebadili ID's!

Ila mimi sijabadili baba Mchungaji

bhe bhe nkima, waupelaga mlugo?

Nkinki chi mmeku oko kanyi
 
Mzazi nipo sema siku hizi siko active kivile kwa vile JF imeingiliwa kiasi flani kuna vijamaa vya uswazi vina ID kama 10 kati ya hizo 7 ni za kike wanakejeli na kutukana hovyo hovyo

kwa kweli vinaboa sana, ila dawa yao kukomaa nao tu, nakumbuka enzi za wapwazz na vikao vya zero pub bana
 
Yani huyu burn sijui alilala wapi jana kaamka na mihasira basi anatwanga tu lolote linalokuja, atakua kapigwa kibuti na mpenzi huyu.
 
We tangu uhamishe makao pale MK umekuja kwa staili ya kutisha. Unanywea wapi na nguli siku hizi?

hahahahahaaa..tumekukamata mpwa, siku hizi gongo mtindo mmoja mitaa ya migombani.
 
Yani huyu burn sijui alilala wapi jana kaamka na mihasira basi anatwanga tu lolote linalokuja, atakua kapigwa kibuti na mpenzi huyu.

Jamani mbona unausononesha mtima wangu? hebu nijibu basi kama unaboifrendi?
 
hahahahahaaa..tumekukamata mpwa, siku hizi gongo mtindo mmoja mitaa ya migombani.
Tatizo lako we mchoyo mpwa....kizuri kula na nduguyo bana..............
 
Sijui huyu Burn kalala wapi jana, basi kaamka na mi hasira yakee anatwanga tu linalokuja kichwani, atakua kapigwa kibuti na darii wake huyu.
 
Tatizo lako we mchoyo mpwa....kizuri kula na nduguyo bana..............

sasa tutaanza kukaa tena vikao vyetu pale migombani maana wewe na nguli tumewapata sasa ni kazi kumsaka geof na kumualika mpwa mpya superstar tehe tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…