Nani anayekuvutia kwa post zake katika jukwaa hili?


OOhh wewe kumbe uko straight!
 
OOhh wewe kumbe uko straight!

hahahahhaha Rev naona leo umeniamkia lol...
naona ni vizuri kuambiana vitu wazi au we waonaje..???
kama hupendi kitu unasema na kama unapenda kitu unatoa shukrani zako.. au vipi???
 
hahahahhaha Rev naona leo umeniamkia lol...
naona ni vizuri kuambiana vitu wazi au we waonaje..???
kama hupendi kitu unasema na kama unapenda kitu unatoa shukrani zako.. au vipi???

Straight ninayoijua mimi si hiyo! Inabidi kuhamia jukwaa la wakubwa
 
Mkuu wangu unaweza kuwa unakosea sana! Kuna jamaa humu zina majina ya kike na hata maandishi yao. Vivyo hivyo kuna wanawake wana ID za kiume. Unaqeza kuamini kama FMES ni demu?

Duh! Hivi kweli?
 
Hii thread yako haina maana yoyote we paka mweusi. Wewe weka mada yenye akili hapa tujadili

Samahani sana mkuu kwa kuweka thread isiyo na maana kwako,lakini naomba nikushauri tu kama unataka thread za maana kwa nini usimtembelee yule jamaa aliyesema kuwa jana katembea na mama mkwe wake, naona hiyo kidogo itaendana na unachotaka kukisoma.
 
hebu nikumbushe wapi nilikuita wewe afrodenzi demu, maana naanza kuchanganyikiwa.
 
Hii thread yako haina maana yoyote we paka mweusi. Wewe weka mada yenye akili hapa tujadili

watu wengine bwana....

si lazima uchangie thread zote.....
kama hii mada huipendi nenda kwenye nyingine.....
jina lako lingekuwa hapo juu... ingekuwa ya maana kwako au vipi??
saa nyingine ni borea kunyamaza kama huna la kusema ...
 
hahahahah lol...
asante sana mkuu...
bado nasikiliza zile ulizonitumia lol

Baby nilishakuambia toka zamani kuwa kila ninachokifanya kwako kuonyesha mapenzi yangu naona hakitoshi naomba uniruhusu tu niendelee na madedication Laaziz wangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…