Tema mate chini.unauhakika na unachozungumza,Wenye HURUMA baada ya Fela kuwadhurumu watoto bila aibu ila Mungu anamwona
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikiba je?Yaani kwasasa ndo nakiona kipaji halisi cha huyu dogo .Keep it up Aslay!
Halafu anaugomvi wowote na Diamond? mbona sijawahi ona akimsapoti huyu dogo hata kwa kumpostia video yake? Diamond huwa unajinasibu sana kwamba unataka kuwainua wasanii wafike juu, huyu Aslay kapambana na hali yake basi nawewe msaidie hata maramoja moja sio lazima aje Wasafi, hata kumpa promo tu au links ni msaada tosha kwake wewe kama mkongwe sasa
kwa nini unamtazama dai tu unatakiwa kujua dai pia aweza kua anamajukumu mengi anautitiri mwingi wa majukumu kiasi kwamba kama yatakukuta wewe waweza kimbia tunao pambana kwenye maisha tunajua hali hiyo ukipata vimafanikio kidogo angalia utavyo songwa na ndugu jamaa wakitaka mtaji na misaada lukuki we acha tuYaani kwasasa ndo nakiona kipaji halisi cha huyu dogo .Keep it up Aslay!
Halafu anaugomvi wowote na Diamond? mbona sijawahi ona akimsapoti huyu dogo hata kwa kumpostia video yake? Diamond huwa unajinasibu sana kwamba unataka kuwainua wasanii wafike juu, huyu Aslay kapambana na hali yake basi nawewe msaidie hata maramoja moja sio lazima aje Wasafi, hata kumpa promo tu au links ni msaada tosha kwake wewe kama mkongwe sasa
Yaah Fella ndio meneja mkuu ila amempa kazi kijana Chambuso kumsimamia.....hivyo bado ni matunda yake Fella.. Japo naona huu mtindo wa kuvujisha nyimbo na kutoa wimbo kila baada ya wiki 3 sidhani kama ni mzuri sana maambo kuna nyimbo zake hazipi nafasi nzuri....Atakuwa ni yuleyule mzee wao Fella baada ya kuona mziki wa bendi haulipi akaona kila mmoja atoe single kivyake wanaita solo Kama sikosei
Na wengine mbona siwaskii maromboso na enock nawaskia aslay na beka tu , namkubaligi maromboso cjui nn tatizoAtakuwa ni yuleyule mzee wao Fella baada ya kuona mziki wa bendi haulipi akaona kila mmoja atoe single kivyake wanaita solo Kama sikosei
I think Maromboso yupo WCB ni swala la muda tuu!!Na wengine mbona siwaskii maromboso na enock nawaskia aslay na beka tu , namkubaligi maromboso cjui nn tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweliWenye HURUMA baada ya Fela kuwadhurumu watoto bila aibu ila Mungu anamwona
Sent using Jamii Forums mobile app