Nani anayetakiwa kuanza kumtamkia mwenzake uhitaji wa kufunga ndoa?

Nani anayetakiwa kuanza kumtamkia mwenzake uhitaji wa kufunga ndoa?

Mousty

Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
13
Reaction score
2
Wana JF wenzangu,

Naomba mchango wa mawazo yenu juu ya swala hili.

Kati ya mwanamke na mwanamume walio katika mahusiano ya kimapenzi ni nani anapaswa kutamka kwa mwenzie uhitaji wa kufunga ndoa?
 
Wana JF Wenzangu Naomba Mchango Wa Mawazo Yenu Juu Ya Swala Hili

Kati Ya Mwanamke Na Mwanamume Walio Katika Mahusiano Ya Kimapenzi Ni Nani Anapaswa Kutamka Kwa Mwenzie Uhitaji Wa Kufunga Ndoa?????
Yeyote anaeza kuanza kwa kumsoma mwenzie maana mf: mwanamke kama ukiona mwanaume yupo yupo unaeza kumuulizaanampango gani na ndoa maana usipoangali unaeza zeekea kwenye uhusiano mwanaume kadili anavyozidi kuzeeka ndo anavyozidi kutamani kuoa watoto wadogo, ila sie tunavyopoteza mvuto na uzee kutunyemelea habari yetu inaisha
 
I think the satement should come from "he"
 
Mgonjwa ndio humfuata daktari..
 
Nafkiri mwanamme ndo mwenye kauli ya mwisho juu ya kuoa au kutokuoa kwenye mahusiano.
 
Empty brain kabisa..unawaza kutamka ili iweje..acha fikra mpakato dogo
 
Kiutamaduni wetu haswa waafrika! Mwanaume ndo anaoa... Yeye ndo inabidi kumtamkia mwanamke. Wanawake tumekaa on receiving end.
 
Back
Top Bottom