iPad ya Apple
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 322
- 126
Member mpya nisiye na doa kwa yeyote Yule , ni muda mrefu nimekuwa nafuatilia mijadala mbalix2 lakini sasa nimeona nami ni muda wa kufatiliwa kwa mijadala Yangu mbalix2 humu Ndani ya jamiiforums.Naomba muwe radhi kunipokea na kunipa ushikiano wa kutosha.