Nani anitumie mkataba wa chombo cha moto (pikipiki au bajaji) wenye masharti mazuri kwa tajiri

Nani anitumie mkataba wa chombo cha moto (pikipiki au bajaji) wenye masharti mazuri kwa tajiri

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Wakuu nataka niwekeze humu kwene piki piki.

Nahitaj kumiliki vyombo vya moto kwa kuanza na pikipiki moja.

Nataka nipate mkataba ambao utaniwea rahisi na unaombana mwendeshaji kuweka nidham ya chombo changu pia kumfanya asilete masihara!

Karibuni wamiliki
 
Shiling ngapi unayo mkuu. Mkataba unaandaliwa kwa gharama kidogo changa kidogo tukupatie mkataba. Ukiutaka wote Changia hela ya stationary.

Huu ni mfano tu (Upo nusu)

MKATABA WA KUKODISHA BODABODA

Huu ni mkataba uliosainiwa tarehe ______________ kati ya:
1. Jina la Mwenye Bodaboda (Mkodishaji):
___________________________
2. Jina la Mpangaji (Mkodishwa): _______________________________

Aina ya Pikipiki: __________________________
Namba ya Usajili wa Pikipiki: _______________
Muda wa Ukodishaji: Kuanzia tarehe __________ hadi tarehe __________.

SHERIA NA MASHARTI YA MKATABA

1. Malipo ya Kila Siku:
 
ni shi ngap
 
Ngoja nipekue pekue kwenye vitu vyangu huku nikutumie, ila sidhani kama nitakuwa na soft copy.
 
sasa stationary najua ilipo stationary yako!! au unazo tanzania nzima
Hahah nafikiria hatujaelewana. njoo PM tuongee. Gharama yake ni tsh 10,000. nnazo softy copy naweza kukutumia ila pia uanweza kuandalia kwa jinsi unavyotaka wewe.
 
1000021395.jpg
1000021398.jpg
 
Back
Top Bottom