Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
hee we unawaz redioCHA KWANZA ASIWE ANAWEKA SINGELI
Asiwe na buster za kupiga mikeleleCHA KWANZA ASIWE ANAWEKA SINGELI
ni shi ngapShiling ngapi unayo mkuu. Mkataba unaandaliwa kwa gharama kidogo changa kidogo tukupatie mkataba. Ukiutaka wote Changia hela ya stationary.
Huu ni mfano tu (Upo nusu)
MKATABA WA KUKODISHA BODABODA
Huu ni mkataba uliosainiwa tarehe ______________ kati ya:
1. Jina la Mwenye Bodaboda (Mkodishaji): ___________________________
2. Jina la Mpangaji (Mkodishwa): _______________________________
Aina ya Pikipiki: __________________________
Namba ya Usajili wa Pikipiki: _______________
Muda wa Ukodishaji: Kuanzia tarehe __________ hadi tarehe __________.
SHERIA NA MASHARTI YA MKATABA
1. Malipo ya Kila Siku:
Stationary tu mkuu sio hela nyingi. PM tumalize haizidi elfu kumini shi ngap
sasa stationary najua ilipo stationary yako!! au unazo tanzania nzimaStationary tu mkuu sio hela nyingi. PM tumalize haizidi elfu kumi
Hata huo sawa tuNgoja nipekue pekue kwenye vitu vyangu huku nikutumie, ila sidhani kama nitakuwa na soft copy.
Hahah nafikiria hatujaelewana. njoo PM tuongee. Gharama yake ni tsh 10,000. nnazo softy copy naweza kukutumia ila pia uanweza kuandalia kwa jinsi unavyotaka wewe.sasa stationary najua ilipo stationary yako!! au unazo tanzania nzima
Ingia PM unicheck nikuwekeeHata huo sawa tu
pengine kama wapMkuu mbn kama hujionei huruma ? Vijana hawaaminiki kabisa, kwa nn hela yako usiiwekeze pengine??
Huu umekaa kibabe
Watu washachana mkeka wa elfu kumi
πππWatu washachana mkeka wa elfu kumi