mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Mi naona Leicester city msimu huu wamejipanga vilivyo! Wanakwenda Mdogo Mdogo kwa ushindi wa 1-0! Wanaodhani watadondosha pointi watasubiri sana! sana sana wataanza kudondosha wao! Tottenham hatapita salama kwa majogoo wa anfield! Waulizeni man city na man u!
yaani hii chelsea ya mwaka huu hapana aiseeSitaki kuamini mechi yetu ya mwisho twacheza na Leicester
Yaani tunawapigia makofi daaaah
Leicester atapotezwa mechi tatu za mwisho. Si ajabu mzee Wenger akatwaa ndoo pia.
Msimu huu team zote kubwa zimepwaya na Arsenal watajuta kama hawatachukua hii advantage.
Only if in between Tottenham atapoteza mechi. Tofauti ni point tano mpaka sasa mkuu.Leicester anahitaji kushinda mechi nne tu kuwa bingwa
Only if in between Tottenham atapoteza mechi. Tofauti ni point tano mpaka sasa mkuu.
Hata kwa man uTotenham ndio wataanza kudondosha point, hawawez kutoka salama kwa Liver
Assume Tottenham hapotezi. Bado Leicester atahitaji "points 12 tu"?Wote Totenham na Leicester watapoteza point....
ndo maana watahitaji point 12 tu kuwa mabingwa
Assume Tottenham hapotezi. Bado Leicester atahitaji "points 12 tu"?
Gap la points 5 ni dogo mno EPL. Man Utd na Liverpool fans wanalitambua hili vizuri sana.
Assume Tottenham hapotezi. Bado Leicester atahitaji "points 12 tu"?
Gap la points 5 ni dogo mno EPL. Man Utd na Liverpool fans wanalitambua hili vizuri sana.
Chochote kinaweza kutokea ligi ya mwaka huu imekuwa na matokeo mengi ya ajabu ajabu zile timu ambazo zingeweza kubadili matokeo na kuchukua nafasi zao zinachechemea.Totenham ana timu ngumu..kupoteza lazima
kuna vitu labda huja pay attention
Newcastle wamebadili kocha na sasa wana Benitez. Benitez atawaharibia sana Totenham mechi ya mwisho
Leicester wenyewe walishinda kwa bahati
bado Totenham ana liverpool na Man U..back to back
League ngumu hii. Leicester pia anaweza kukaa kwa Southampton. Lolote laweza kutokea. Gap la point 5 bado sana.