Nani ataanza kustaafu soka kati ya Messi na Ronaldo?

Nimependa huu mtazamo kama messi ana miaka 34 basi ana wigo mpana wa kuongeza muda kwenye soka kama Mungu ataendelea kumpa uhai, sikupingi

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Messi na sababu inaweza kuwa majeraha. Maana alipokua barca hili jambo lilikua historia ila kule PSG eti anatangazwa ana majeraha
 
Ronaldo alishasema atastaafu akiwa na miaka 40. Kwa sasa sijui ana miaka 36!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…