Nani atachukua ubingwa WC 2018 Russia

Kwa vyovyote vile huenda bingwa akawa ni UJERUMANI tena.
Uwezo wao kisoka katika timu yao ya taifa umeongezeka maradufu zaidi toka watwae kombe la dunia mwaka 2014.
 
Ujerumani anaweza akachukuwa tena. Wana kikosi kikubwa chenye wachezaji wazuri
 
Kwa usajili barca iliyofanya lazima inyanyue tena mapemaaa mzunguko wa kwanza
 
ARGENTINA anaenda kuchukua mapemaa.itapendeza mno kwa timu pendwa yenye jina zuri lenye kuvutia na wachezaji wake almost wote wana discipline ya hali juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…