Ungetuambia kwanza kama ule mkataba unasemaje ukifukuzwa kazi na kama ukifa,,,tukishajua hapo ndio tutakua na la kusema
Daaa itakuwa kuna mtu aliiba cheti chako kwa kukitoa copy bila we mwenyewe kujuaBinafsi nimeona jina langu,na sijawahi kufanya kazi serikalini wala kumpa mtu vyeti vyangu
Ni kweli mkopo wowote una bima lakini sio kwa mkupuo kwa idadi hii. Nmb lazima itayumba.Hakuna wa kulipa koz mkopo lazima uwe na bima
Basi kuna mtu anatumia jina lako kwa kukubaliana labda umesahau.Binafsi nimeona jina langu,na sijawahi kufanya kazi serikalini wala kumpa mtu vyeti vyangu