Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
$100,000 x 1,000,000= $100,000,000. Hata Kakobe haziachi hizi!mnajifanya hamjui eee..ukitokea mchongo waingereza wakimpa mtu dola laki milioni mia moja si wote mtajifanya wachungaji hapa na kuanzisha kanisa fasta?uongo?
hata mababu zetu si walikuwa wanadanganywa kwa kupewa pipi..hapa najua watu wanapiga makelele tu kukataa$100,000 x 1,000,000= $100,000,000. Hata Kakobe haziachi hizi!
$100,000 x 1,000,000= $100,000,000. Hata Kakobe haziachi hizi!
Cameroon kaamua kwa halina mali kuyashika masaburi ya waafrika weney kiherehere cha kuomba misaada ..sasa hizi ndoa zikiruhusia zitafugwa wapi na nani? Kwa imani gani?
Kwa nini hawaendi huko libya egypt na nchi za kiarabu kupeleka hii demokrasia yao
let say ..wazungu wanataka kuanzisha kanisa Tz linalokubali ndoa za mashoga then wana kama US $100 000/=...Hili dili litaachwa kweli na wabongo? ..haya ni mambo ambayo yanaweza kutokea kweli ..so usipinge kwani wazungu hamnazo