Tumeuliza hili kwa sababu ya Utaratibu wa CCM kwenye jimbo hilo ni kuwateua Wakuu wa Mkoa huo.
Sasa aliyekuwepo katoka na aliyekuwa kabla yake kagombea Ubunge, Pedeshee Makalla ndio kawa Mkuu wa Mkoa huo kwa sasa.
Kati ya Makalla na Kihongosi nani atanitwalia shamba hilo la Bibi?