Naona mwandani wa lowasa una taarifa exclusive
Mmoja wao anaweza kuwa rais wangu.
Zitto huyu aliefukuzwa kwa usaliti au Zitto yupi?Neither lisu nor lowasa.
Zitto ndio atachukua bendera kuwakilisha upinzani 2020.
Piga screenshot hii post then 2020 utajikumbusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgombea wa urais wa UKAWA ni Zitto Kabwe.......hutaki acha!Uchaguzi mkuu wa Tanzania unatarajiwa kufanyika mwaka 2020. Hivi karibuni Tundu Lissu amenukuliwa akisema anakusudia kuomba kupeperusha bendera ya CHADEMA. Ama huko nyuma Edward Lowassa nae alinukuliwa akisema atagombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Ni nani kati ya hao wawili unadhani atateuliwa kupeperusha bendera ya CDM kwenye uchaguzi huo muhimu kwa nchi yetu.

Hivyo vikao vilienda wapi wakati wa Edo vs slaa 2015??Ni ujinga kujadili ni nani atapeperusha wakati vikao rasmi vipo na vitakaa kupitisha atakaye watakao chukuwa fomu wakati huo. Hata mimi natangaza kuwa nakusudia kugombea lakini kama Lissu atachukuwa fomu nitaahirisha dhamira yangu