Nani ataibuka mshindi kama Anthony Joshua na Floyd Mayweather wakipangiwa pambano

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Hebu eleze kulingana na vigezo hivi
Speed(uharakawalionao je unazidiana au unalingana)
Weight(uzito wao)
Height(urefu)
Check hizi highlight
Kwa Anthony Joshua'
Alafu check za Floyd mayweather



Note:Mimi sio mfuatiliaji sana kwa hiyo sina uhakika juu uandaaji Wa mapambano haya ila ni mtazamaji Wa kawaida
 
Kuna Jamaa alikuwa anauliza kwenye mtandao flani unaitwa quota ila kwa majibu aliyopata ni haya haya kuwa haeawezi pambanishwa kutokana na uzito wao but nilivutiwa sana na Anthony Jamaa yuko vizuri nikasema moyoni je hawawazi kupambana kisa uzito kwa sababu ndo sheria day! Nilikuwa sifaham kuhusu ilo kama ni sheria wadau ila ndo mchezi napenda kuliko ball
 

Kwa macho ya kawaida kabisa unaona wanalingana ? Yan ile kwa kuangalia tu tofauti ya body size huoni ni unfair kuwapambanisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kwenye swala LA urefu tukiachana na uzito
 
Embu wekeni sheria za uandaaji Wa haya mapamb ano
 
Thread ya kitoto ... Hivi we we na mtoto was miaka 7 mkipewa pambano nano atashinda?
 
Mayweather ni sawa na Simba ya kina Kagere na Anthony Joshua ni sawa na Barcelona ya kina Messi.
 
Quora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…