ktk mapenzi kitu kizuri ni kuridhishwa sex na umpendae ktk kila steji unayopitia na ukaenjoy. lkn siku hizi mambo ni tofauti sana unaweza kudhani watu wanafanya mazoezi kwa wenzao.
nani atakae niridhisha ili nizidi kumpenda pale napomwona ktk sura yangu? ndo swali wengi wamekuwa wakijiuliza...
tatizo nini siku hizi ktk mapenzi mbona weng hawaenjoy na mahusiano yanavunjika kila kukicha?
tumia vibration machine ni kiboko na mwisho wa matatizo nyege zote zitakwisha.

hii ni roho ya mpinga kristo.

Kama mtu hatosheki unafiki nini kifanyike? unataka akajiuze? si bora kutumia machine kuliko hayo mengine.
mweee. mwenyewe na ridhika hadi nalia ka nungunungu
bora wewe nungunungu.....mi kama kobe.....umewahi kumsikia kobe.....?
hahaa yaani Kobe huwa wanalia vibaya
Hivi na utu uzima wako unamshauri binadamu atumie chombo cha umeme kwenye uke? je hilo ndilo suluhisho la kudumu? je unategemea akishaanza kujiridhisha kwa umeme, je kuna uboo wowote utakaomridhisha duniani? Kabla ya kumshauri mwenzio njia ya kumpoteza na kumuharibia mahusiano yake moja kwa moja na aidha mme au boyfriend wake ni bora ufikirie madhara ya muda mfupi na muda mrefu kwa hicho unachoshauri. Na kama hauwezi kuona hayo madhara, ni busara kutochangia kuliko kuzidi kumuharibu mwenzio. Wakati mwingine kukaa kimya ni busara kuliko kusema jambo ambalo badala ya kujenga linabomoa, tena moja kwa moja.
Badala ya kumshauri mtu akaonane na wanasaikolojia pamoja na namna gani wanaweza kufanya na partner wake, wewe unamwelekeza akafanya mapenzi na vyombo vinavyotumia umeme kwenye kiungo kilichoumbwa kwa ajili ya kiungo kingine kinachotumia damu na si umeme au betri. Muogope Mungu wako kama unaamini kwamba kuna Mungu.