KdbHabar wadau
Kutokana na janga la virusi vya korona lilivoathiri misimu ya michezo karibu dunia nzima lakini badae ligi baadhi ya ligi zakakamilika na zngne kufutwa na zngne zinaendelea na tumeshuudia EPL pale uingereza imeisha juz je ni mchezaji gan anastahili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika ligi kuu ya uingereza msimu huuu 2019/20.
Dah Henderson
- henderson - liverpool
- kevin de bruyne - man city
- alexander arnold
usiyempenda katajwa tenaDah Henderson
Sijui kwa nini anatajwa mbele ya wachezaji wanaojua kuliko yeye kama KDB, Trent Alnord, Mane na Salahusiyempenda katajwa tena
KDBHabari wadau,
Kutokana na janga la virusi vya korona lilivoathiri misimu ya michezo karibu dunia nzima lakini badae ligi baadhi ya ligi zakakamilika na nyingine kufutwa na nyingine zinaendelea na tumeshuhudia EPL pale Uingereza imeisha juzi. Je, ni mchezaji gani anastahili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka katika ligi kuu ya Uingereza msimu huuu 2019/20.
Ilikua lazima atajwe yeye mbele ya waandishi wa habari wa Kiingerezausiyempenda katajwa tena