Nani atakuwa mwenyeji wangu hu?

Ndala ndefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
237
Reaction score
42
Haya wapendwa, naomba mwenyeji anipokee na kunielekeza kanuni, sheria na taratibu za humu mjengoni.
 
karibu karibia jf sheria za jf zipo jukwaa hili hili
 
Haya wapendwa, naomba mwenyeji anipokee na kunielekeza kanuni, sheria na taratibu za humu mjengoni.

Karibu, mkuu. Nimekuita mkuu maana watu wanaitan wakuu, kila mtuu ni mkuu. Ndo naanza kukujuza hivyoo
 
Haya wapendwa, naomba mwenyeji anipokee na kunielekeza kanuni, sheria na taratibu za humu mjengoni.
Join Date : 24th December 2012
Posts : 231
Rep Power : 453
Likes Received36
Likes Given0

Umejiunga lini wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…