Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
A.M. Shein ni barabra kwa vile ni mtu asiye corrupt ni wa kawaida sana na pia ni maratibu na ana busara. Zaidi ni Mpemba na hivo anaweza ku-balannce mwenendo wa kisiasa visiwani amabapo upinzani ni kati ya Pemba na Unguja(Kiasi fulani) na kwa upande mmoja na CCM na CUF kwa upande wa pili. Akigombea Shein utabaki upinzani wa aina moja zaidi yaani kati ya CCM na CUF hasa kwa vile CuF nao wana mgombea Mpemba. ILA KUPITA KWA SHEIN INAWEZA IKAWA DISADVANTAGE KWA CUF