Nani atapata kura nyingi?

Nani atapata kura nyingi?

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Hapa Tanzania ikitokea ikatakiwa watoto wapige kura za siri kumchagua mzazi wanayempenda sana je kati ya baba na mama yupi atapata kura nyingi zaidi katika makundi yafutayo na ni kwanini unafikiri huyo ndiye atapata kura nyingi katika kundi hilo?

Kundi No.1. WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18
Kundi No.2. WATOTO WENYE UMRI WA MIAKA 18 NA KUENDELEA

Assumption: Kila familia ina wazazi wote wawili wakiwalea watoto wao
 
Mama hana mpinzani ktk hilo,lakini sema tu ni wazo la kufikirika azawise si swala zuri maana inaleta separtion ktk familia,naamini haito tokea na wala siombei itokee hivyo maana haijengi bali inabomoa.
 
kura zote zitaharibika!, na zile amabazo hazitaharibika, basi itabidi zihesabiwe tena na tena na tena na tena..... maana hakutakuwa na mshindi!!
 
Mama hana mpinzani ktk hilo,lakini sema tu ni wazo la kufikirika azawise si swala zuri maana inaleta separtion ktk familia,naamini haito tokea na wala siombei itokee hivyo maana haijengi bali inabomoa.

Katika kundi lipi??
 
Back
Top Bottom