Hapa Tanzania ikitokea ikatakiwa watoto wapige kura za siri kumchagua mzazi wanayempenda sana je kati ya baba na mama yupi atapata kura nyingi zaidi katika makundi yafutayo na ni kwanini unafikiri huyo ndiye atapata kura nyingi katika kundi hilo?
Kundi No.1. WATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18
Kundi No.2. WATOTO WENYE UMRI WA MIAKA 18 NA KUENDELEA
Assumption: Kila familia ina wazazi wote wawili wakiwalea watoto wao
Mama hana mpinzani ktk hilo,lakini sema tu ni wazo la kufikirika azawise si swala zuri maana inaleta separtion ktk familia,naamini haito tokea na wala siombei itokee hivyo maana haijengi bali inabomoa.