bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Msimu uliopita tumeshuhudia Yanga akipata pointi zote 6 kutoka kwa mtani wake Simba ,ila katika game zote hizo kama kawaida game za watani huwa na maneno sana.
Simba akaja na visingizio kwamba Yanga kabebwa baada ya mchezaji wake Abdi Banda kupewa red card na Simba kuchapwa bao 2 kama kumbukumbu ziko vizuri.
Oktoba 1 watani wanaenda kukutana pale uwanja wa Taifa,Asante Mzee wetu benjamini Mkapa kwa zawadi uliyotuachia ndo maana tukamwona Kaka wa brazil akicheza Tz.
Je Oktoba 1 tutashuhudia tena Kadi Nyekundu au Kampa Kampa Ngoma tena??
Tusubiri sio mbali.