Nani atapewa kadi nyekundu kipindi hiki??

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Msimu uliopita tumeshuhudia Yanga akipata pointi zote 6 kutoka kwa mtani wake Simba ,ila katika game zote hizo kama kawaida game za watani huwa na maneno sana.

Simba akaja na visingizio kwamba Yanga kabebwa baada ya mchezaji wake Abdi Banda kupewa red card na Simba kuchapwa bao 2 kama kumbukumbu ziko vizuri.

Oktoba 1 watani wanaenda kukutana pale uwanja wa Taifa,Asante Mzee wetu benjamini Mkapa kwa zawadi uliyotuachia ndo maana tukamwona Kaka wa brazil akicheza Tz.

Je Oktoba 1 tutashuhudia tena Kadi Nyekundu au Kampa Kampa Ngoma tena??

Tusubiri sio mbali.
 
Reactions: PNC
Mara hii wale wakuwagawia pasi za bure hawapo.Hivyo jipangeni sawasawa.Leo toeni rushwa kwa refa tu.Mkiwa wema gunia la magoli linawasubiri.
 
Kichwa cha habari na mada iliyomo vitu viwili tofauti, ndiyo maana watu wako kimya.
 
Mara hii wale wakuwagawia pasi za bure hawapo.Hivyo jipangeni sawasawa.Leo toeni rushwa kwa refa tu.Mkiwa wema gunia la magoli linawasubiri.
Atajitokeza mwingne tuu kama sio Mwanjali basi Lufunga...
 
Ingependeza tuweke kichwa gani cha habari??
"Yaliyotokea mwaka jana je kujirudia tena mwaka huu" Hiki ndicho kingikua kichwa cha habari yako, mada iliyobebakichwa cha habari yako haikube habari iliopo bali umeandika habari mseto, mada yenyewe umeiweka mwisho tena maneno machache sana.
 
Yametimia hatimaye Mkude amezawadiwa kadi nyekundu final result Yanga 1 Simba 1
 
MKUU ULINENA VYEMA[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…